Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
nn kinahtajika katka h koz ya agricultural engineering na vp msul wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni sua unabidi ujitoe muhanga lakini kama ni sjuit utakula shavu kiaina...
m nimechaguliwa sjuit ebu nambie shavu kalipi hv
Kama ni sua unabidi ujitoe muhanga lakini kama ni sjuit utakula shavu kiaina...
m nimechaguliwa sjuit ebu nambie shavu kalipi hv
Hongera sana...
Kule SJUIT misuli yao ya kawaida sana,ukikomaa kibeto unaweza pata hata upper 1st class...
Ni cozy ambayo bado ni very marketable nenda katafute gpa za uhakika...
Kwa cozy kama hii ni vizuri zaidi kama utakuwa na laptonga ya kukuwezesha kuaccess internet kwa uhakika ili uweze kuchimba, kufukua na kupakua madesa
mpe somo dogo anafikiri engineering ni kuuza sura na asifikiri ajira asome kwanza suala la ajira litafuata baada ya kumalizaKaribu Departiment of Agricultural Engineering and Land Planning usiogope make unakuja kupata kile unachokihitaji Msuli kama kawaida, kinachohitajika ukipata Drawing Board nunua uje nayo make kuna course inaitwa Engineering Drawing inahitaji uwe nayo, na vitu vingne vya msingi.
" With best regard"
nn kinahtajika katka h koz ya agricultural engineering na vp msul wake