Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Nawasalimia wana JF.
Poleni na kazi. Kuna watu wamekuwa wanalalamika kuhusu mada inazozileta wakawa wanasema kwanini tusichangie mambo ya maana ili kukuza Africa Mashariki.
Basi leo nimeona nilete hii mada ya kuhusu Kilimo, Uvuvi na ufugaji Tanzania ili wenzetu wenye shida waweze kujua mazao yapo wapi waweze kupata.
Nitakuwa naweka picha na maeneo husika ndani ya Tanzania.
Ndugu zetu kutoka kenya wanalima maua lakini hawalimi mazao ya chakula tunaweza kuwasaidia waweze kupata japo mlo. Unajua hawa ni ndugu zetu kabisa, kinachotakiwa tu waweze kukusanya pesa zao waje tufanye biashara nao.
Utaratibu wetu wa serikali yetu ni kulipa kodi sasa basi mnaweza kukusanya pesa kutoka kwenye vijiji vyenu na kuja kununua mazao hapa bila kukwepa kodi na kuiba mazao ya raia wetu. Tutafanya biashara vizuri.
Nyanya zipo kwa wingi Tanzania