Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Kinacho ongeza mfumuko bei (inflation) kenya ni bei ya chakula, wakati inflation Tanzania inashuka haraka sana kwakuwa na chakula kingi na rahisi, kenya ina panada tena ina panda wakati bei ya mafuta duniani inashuka kitu ambacho kungesaidia kupunguza gharama ya uzalishaji.Mwambie mwenzako huyo..kenya inaongoza afrika kwa kuuzia chakula UN....
tena isitoshe, robo ya maua ya tanzania hua yanauzwa kupitia kenya, maranyengine wakulima hawajali kama
yanabandikwa jina gani, kwavile kule ulaya maua ya tanzania hayajulikani sana, wanaprefere yaandikwe yametoka kenya ili yauzwe na faida nyingi
Kenya haiwezi kuwa na mifugo mingi, nchi zilizo na mifugo mingi Afrika ya kwanza ni Ethiopia, ikifwatiwa na Tanzania. Ngombe tuu wapo zaidi ya million 25, mbuzi zaidi million 16 na hiyo ni rough estimate.