Agriculture,Fisheries and livestock in Tanzania - East Africa

Kwikwikwi povu linakutoka sana.kama hutaki acha wenzako watakuja kununua.
Labda huna hela wewe.
Ati akina nani hawa waje kunua? Hizo bidhaa nyingi zao hata si zenu, mnachukua picha za China na Ireland mnasema ni zenu.

Natoka.
 
Najua ndugu zangu kutoka kenya mnapenda sana nyama choma za mbuzi, bahati mbaya hamkujaliwa kuwa na mazingira mazuri maana zaidi ya 50% ya nchi yenu unaukame wa kupindukia. Ndio maana mpo na mbuzi wachache sana. changamkeni kwa sasa maana baada ya mda tutakuwa na viwanda tutakuwa tunawauzia nyama za mbuzi walio sindikwa.
Maeneo yafuatayo yapo na mbuzi kwa wingi
1. Arusha
2. Manyara
3. Singida
4. Shinyanga
5. Tabora
6. Mwanza
7. Kigoma
8. Katavi
9. Sumbawanga
10. Iringa
11. Mbeya
Na maeneo mengi tu.
Unawenza ukaja Dar na kwenda maeneo ya vingunguti unaweza pata kitoweo chako safi.
Lakini kumbuka kukata kibali cha kununua na kusafirisha mbuzi la sivyo utaonekana mwizi
Halafu mbuzi wa Tanzania wanauwezo wa kupanda juu ya miti. Najua mbuzi wa kenya wanashida sana hawawezi kupanda juu ya miti

View attachment 437411 View attachment 437412 View attachment 437413 View attachment 437414

Kenya ndo inaongoza kwa research ya high yielding cows and goats kama ulikua hujui, hata south africa huja kuchukua madume huku kenya...

There are about 400 million goats in the world, with Africa accounting for 67%. In East Africa, Kenya has a goat population of 6.4 million, Tanzania 4.3 million and Uganda 3.9 million. The trends in Ugandan small ruminant population dynamics can be seen in Table 1. One method of increasing the number of goats and sheep is to select for twinning traits within a population. The twinning rate of East African goats is 30% and triplets occur at the frequency of 2%. Goats have a unique feeding characteristic of browsing which accounts for 60% while the grazing preference is only 40%.
Keynote address - Small ruminants: Goats and sheep in uganda

one by one tutakurlimisha tu
 
Ndugu zangu wanaukimbi nawapa mda kidogo mpumzike muweze kutafakari baadhi ya bidhaa nilizo waletea kutoka Tz.

Najua kuna baadhi ya wakenya ambao hawana hela midomo yao ni kama kasuku hawatafakari hata kidogo.

Lakini wakenya walio wengi wenye pesa hawana midomo sana na hutumia akili.

Kwa mfano kuna lijamaa limoja ninajiita iconoclastes limekomalia vitu vya ajabu ajabu sana huku limejaa povu mdomoni.

Ngoja nilisaidie kidogo.
Ndugu yangu uliye jaa povu mdomoni hizo picha nimekuwekea kwamba aina ya mazao hayo yanapatikana tanzania. Kwa watu wanajua kilimo wananielewa.
Kwa mfano aina flani ya mbuzi kipindi cha zamani walikuwa hawapo hapa Africa mashariki walikuwa wanapatikana ulaya tu.
Lakini sasa mbuzi hao wanapatikana TZ.

Sasa hilo jamaa limekomaa tu bila hata kutumia akili hata kidogo. Kila wakati limekaa kiushindani tuuu.

Basi karibuni tujadili mazao hayo wenye maswali waulize.
 
Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!

Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu tuite nini?Binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.

Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao - jamaa hawa wako crafty kweli kweli, watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha kwenda Ulaya na Mashariki ya kati - je, sisi tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya - kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko h7ko waliko?

Kumbukeni jamaa hawa walivyo kuwa wananunua mahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala za kuwatumia Wantanzania kwa manufaa yao.
 
Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu, binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.

Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao wako crafty kweli kweli watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha Ulaya na Mashariki ya kati - tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko? Kumbukeni jamna hawa walivyo kuwa wananunua nahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala.
Sawa rafiki yangu ngoja kuanzia kesho nitaanza kutaja uganda,burindi,rwanda na S.Sudan.
Si unajua hawa wakenya wanajua kiswahili kimtindo!??.
 
Umewapendelea kwenye maua hata sisi Tanzania tunalima maua tena kwa wingi zaidi Arusha
img_flower.jpg
ap1ethiopianflower.jpg
img_transport.jpg
img_rose.jpg
tanzania-arusha-region-ngorongoro-district-the-plantation-lodge-is-cn533a.jpg
515244_m3w561h315q80v50314_xio-fcmsimage-20111117180759-006028-4ec53f6f51cc6.5d78323a-c2a6-42f0-ab33-e3e344211e72.jpg
 
Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!

Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu, binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.

Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao wako crafty kweli kweli watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha Ulaya na Mashariki ya kati - tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko? Kumbukeni jamna hawa walivyo kuwa wananunua nahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala.
Ndugu yangu hapa TZ huwa hatuhesabu mbuzi kama kwenu kama umejua idadi hiyo ujue hata robo ya mbuzi wa TZ haifikii.
Najua inakuuma sana ila utafanya nini sasa maana mungu amewapangia fungu la kukosa. Itabidi mkubaliane na hali.
 
Umewapendelea kwenye maua hata sisi Tanzania tunalima maua tena kwa wingi zaidi Arusha
img_flower.jpg
ap1ethiopianflower.jpg
img_transport.jpg
img_rose.jpg
tanzania-arusha-region-ngorongoro-district-the-plantation-lodge-is-cn533a.jpg
515244_m3w561h315q80v50314_xio-fcmsimage-20111117180759-006028-4ec53f6f51cc6.5d78323a-c2a6-42f0-ab33-e3e344211e72.jpg
Kumbee!!! Basi itabidi hawa wenzetu tuwasaidie kwa kila jambo. Wenyewe wamekalia kusifia takwimu tu. Basi tutawasaidia tu.
 
Hao hatuna la kujifunza kwao wenyewe ni wanafunzi wetu ila much know tu.

Na mayowe meeengi kitu kipya kikitokea kwao leo ulimwenguni kote watajua kumbe Tanzania kilishakua zilipendwa ila tumechill tu.
 
hahaha, since you discovered that reverse image search umekua uki aibisha watu of late..hahahA
Rafiki yangu mbona hayo tena kwani ni vita? Wewe leta pesa tu, tukupatie mzigo.
 
Hao hatuna la kujifunza kwao wenyewe ni wanafunzi wetu ila much know tu.

Na mayowe meeengi kitu kipya kikitokea kwao leo ulimwenguni kote watajua kumbe Tanzania kilishakua zilipendwa.
Kwa kiswahili huwa tunawaita limbukeni.
 
Nawasalimia wana JF.
Poleni na kazi. Kuna watu wamekuwa wanalalamika kuhusu mada inazozileta wakawa wanasema kwanini tusichangie mambo ya maana ili kukuza Africa Mashariki.

Basi leo nimeona nilete hii mada ya kuhusu Kilimo, Uvuvi na ufugaji Tanzania ili wenzetu wenye shida waweze kujua mazao yapo wapi waweze kupata.
Nitakuwa naweka picha na maeneo husika ndani ya Tanzania.

Ndugu zetu kutoka kenya wanalima maua lakini hawalimi mazao ya chakula tunaweza kuwasaidia waweze kupata japo mlo. Unajua hawa ni ndugu zetu kabisa, kinachotakiwa tu waweze kukusanya pesa zao waje tufanye biashara nao.
Utaratibu wetu wa serikali yetu ni kulipa kodi sasa basi mnaweza kukusanya pesa kutoka kwenye vijiji vyenu na kuja kununua mazao hapa bila kukwepa kodi na kuiba mazao ya raia wetu. Tutafanya biashara vizuri.

Nyanya zipo kwa wingi Tanzania
View attachment 437400
Halafu na wewe unapoteza muda wako unawasikiliza. Khaa, eti wanalakanika, si walalamike mpaka jua lichomoze tena [emoji23]
 
Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!

Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu tuite nini?Binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.

Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao - jamaa hawa wako crafty kweli kweli, watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha kwenda Ulaya na Mashariki ya kati - je, sisi tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya - kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko h7ko waliko?

Kumbukeni jamaa hawa walivyo kuwa wananunua mahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala za kuwatumia Wantanzania kwa manufaa yao.

Mwambie mwenzako huyo..kenya inaongoza afrika kwa kuuzia chakula UN....

tena isitoshe, robo ya maua ya tanzania hua yanauzwa kupitia kenya, maranyengine wakulima hawajali kama
yanabandikwa jina gani, kwavile kule ulaya maua ya tanzania hayajulikani sana, wanaprefere yaandikwe yametoka kenya ili yauzwe na faida nyingi
 
Kwikwikwikwi sasa hivi yatajulikana tu. Tanzania ya jana sio ya leo.
Halafu usitutanie mnawauzia UN kitu gani uwe specific. Kama maua sema tunawauzia UN maua. Na useme, maana ya UN isije ikawa unamaanisha Uhuru wa Nairobi.
 
Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!

Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu tuite nini?Binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.

Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao - jamaa hawa wako crafty kweli kweli, watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha kwenda Ulaya na Mashariki ya kati - je, sisi tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya - kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko h7ko waliko?

Kumbukeni jamaa hawa walivyo kuwa wananunua mahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala za kuwatumia Wantanzania kwa manufaa yao.
Hawako craft kwa lolote, wazungu wekezaji waliopo Kenya ndio watafutaji wa masoko. Mzungu mwenye shamba na bidhaa zake ndio ana tafuta soko sana sana bara la ulaya. Kwasababu ndio kazi alioletwa kufanya Afrika, nenda kamilika ardhi, utuzalishie sisi wazungu wenzako bidhaa tuweze kuendelea. Kama ilivyo kuwa Zimbabwe na Afrika ya kusini. Mtu mweusi wa Kenya akipeleka kitu soko la ulaya ita mchukuwa muda mrefu mpaka wazungu wa muamini na kukubali bidhaa zake.
 
Mwambie mwenzako huyo..kenya inaongoza afrika kwa kuuzia chakula UN....

tena isitoshe, robo ya maua ya tanzania hua yanauzwa kupitia kenya, maranyengine wakulima hawajali kama
yanabandikwa jina gani, kwavile kule ulaya maua ya tanzania hayajulikani sana, wanaprefere yaandikwe yametoka kenya ili yauzwe na faida nyingi

Ni kweli mkuu kwenye Supermarket shelves za Ulaya nilikuwa naona produces kutoka South Africa, Israel, Kenya - nikawa najiuliza maswali mengi: Hivi Tanzania tunashindwa nini? mwishowe nakajifariji kwamba wenda ikawa kwa kuwa Kenya na South Africa kuna White Farmers labda ndiyo maana bidhaa zao zinakubarika kwenye Supermakets za wazungu wenzao huku Ulaya!!
 
Back
Top Bottom