Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Ati akina nani hawa waje kunua? Hizo bidhaa nyingi zao hata si zenu, mnachukua picha za China na Ireland mnasema ni zenu.Kwikwikwi povu linakutoka sana.kama hutaki acha wenzako watakuja kununua.
Labda huna hela wewe.
Najua ndugu zangu kutoka kenya mnapenda sana nyama choma za mbuzi, bahati mbaya hamkujaliwa kuwa na mazingira mazuri maana zaidi ya 50% ya nchi yenu unaukame wa kupindukia. Ndio maana mpo na mbuzi wachache sana. changamkeni kwa sasa maana baada ya mda tutakuwa na viwanda tutakuwa tunawauzia nyama za mbuzi walio sindikwa.
Maeneo yafuatayo yapo na mbuzi kwa wingi
1. Arusha
2. Manyara
3. Singida
4. Shinyanga
5. Tabora
6. Mwanza
7. Kigoma
8. Katavi
9. Sumbawanga
10. Iringa
11. Mbeya
Na maeneo mengi tu.
Unawenza ukaja Dar na kwenda maeneo ya vingunguti unaweza pata kitoweo chako safi.
Lakini kumbuka kukata kibali cha kununua na kusafirisha mbuzi la sivyo utaonekana mwizi
Halafu mbuzi wa Tanzania wanauwezo wa kupanda juu ya miti. Najua mbuzi wa kenya wanashida sana hawawezi kupanda juu ya miti
View attachment 437411 View attachment 437412 View attachment 437413 View attachment 437414
Sawa rafiki yangu ngoja kuanzia kesho nitaanza kutaja uganda,burindi,rwanda na S.Sudan.Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!
Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu, binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.
Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao wako crafty kweli kweli watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha Ulaya na Mashariki ya kati - tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko? Kumbukeni jamna hawa walivyo kuwa wananunua nahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala.
Ndugu yangu hapa TZ huwa hatuhesabu mbuzi kama kwenu kama umejua idadi hiyo ujue hata robo ya mbuzi wa TZ haifikii.Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!
Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu, binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.
Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao wako crafty kweli kweli watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha Ulaya na Mashariki ya kati - tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko? Kumbukeni jamna hawa walivyo kuwa wananunua nahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala.
hahaha, since you discovered that reverse image search umekua uki aibisha watu of late..hahahA
Hao hatuna la kujifunza kwao wenyewe ni wanafunzi wetu ila much know tu.Kumbee!!! Basi itabidi hawa wenzetu tuwasaidie kwa kila jambo. Wenyewe wamekalia kusifia takwimu tu. Basi tutawasaidia tu.
Hapohapo exactly yaani hawa ndugu zetu ulimbukeni ulianzia kwao na umeishia kwao.Kwa kiswahili huwa tunawaita limbukeni.
Halafu na wewe unapoteza muda wako unawasikiliza. Khaa, eti wanalakanika, si walalamike mpaka jua lichomoze tena [emoji23]Nawasalimia wana JF.
Poleni na kazi. Kuna watu wamekuwa wanalalamika kuhusu mada inazozileta wakawa wanasema kwanini tusichangie mambo ya maana ili kukuza Africa Mashariki.
Basi leo nimeona nilete hii mada ya kuhusu Kilimo, Uvuvi na ufugaji Tanzania ili wenzetu wenye shida waweze kujua mazao yapo wapi waweze kupata.
Nitakuwa naweka picha na maeneo husika ndani ya Tanzania.
Ndugu zetu kutoka kenya wanalima maua lakini hawalimi mazao ya chakula tunaweza kuwasaidia waweze kupata japo mlo. Unajua hawa ni ndugu zetu kabisa, kinachotakiwa tu waweze kukusanya pesa zao waje tufanye biashara nao.
Utaratibu wetu wa serikali yetu ni kulipa kodi sasa basi mnaweza kukusanya pesa kutoka kwenye vijiji vyenu na kuja kununua mazao hapa bila kukwepa kodi na kuiba mazao ya raia wetu. Tutafanya biashara vizuri.
Nyanya zipo kwa wingi Tanzania
View attachment 437400
Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!
Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu tuite nini?Binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.
Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao - jamaa hawa wako crafty kweli kweli, watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha kwenda Ulaya na Mashariki ya kati - je, sisi tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya - kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko h7ko waliko?
Kumbukeni jamaa hawa walivyo kuwa wananunua mahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala za kuwatumia Wantanzania kwa manufaa yao.
Kwikwikwikwi sasa hivi yatajulikana tu. Tanzania ya jana sio ya leo.Mwambie mwenzako huyo..kenya inaongoza afrika kwa kuuzia chakula UN....
tena isitoshe, robo ya maua ya tanzania hua yanauzwa kupitia kenya, maranyengine wakulima hawajali kama
yanabandikwa jina gani, kwavile kule ulaya maua ya tanzania hayajulikani sana, wanaprefere yaandikwe yametoka kenya ili yauzwe na faida nyingi
Hawako craft kwa lolote, wazungu wekezaji waliopo Kenya ndio watafutaji wa masoko. Mzungu mwenye shamba na bidhaa zake ndio ana tafuta soko sana sana bara la ulaya. Kwasababu ndio kazi alioletwa kufanya Afrika, nenda kamilika ardhi, utuzalishie sisi wazungu wenzako bidhaa tuweze kuendelea. Kama ilivyo kuwa Zimbabwe na Afrika ya kusini. Mtu mweusi wa Kenya akipeleka kitu soko la ulaya ita mchukuwa muda mrefu mpaka wazungu wa muamini na kukubali bidhaa zake.Mkuu mbona ueleweki? Umekazania ndugu wetu wa Kenya, mbona usemi wa Uganda au Rwanda!!!
Hii kama sio gea mbadala ya wenzetu hawa kutaka kijipenyeza nchini kiaina kwa kuwatumia Watanzania wenzetu tuite nini?Binafsi tactics hizi sijazipenda hata kidogo.
Kumbuka wenzetu wa Kenya hawana shida kivile - wanacho tafuta ni kiwatumia Watanzania kwa manufaa yao - jamaa hawa wako crafty kweli kweli, watajidai wananunua produce zetu for domestic consumption kumbe wanakwenda ku rebag na kusafirisha kwenda Ulaya na Mashariki ya kati - je, sisi tunashindwa nini kutafuta masoko na kuuza huko huko Mashariki ya kati na Ulaya - kwani wahambata wa biashara kwenye Balozi zetu kazi zao ni nini si kutafuta Masoko h7ko waliko?
Kumbukeni jamaa hawa walivyo kuwa wananunua mahindi Tanzania kwa kujifanya kwao kuna njaa kumbe wanakwenda kuyasaga wanajaza kwenye mifuko na kuwauzia umoja wa Mataifa (UNHCR) wanapata faida kubwa sisi tumelala usingizi, sitaki makosa haya yajirudue tena kwa wao kupitia njia mbadala za kuwatumia Wantanzania kwa manufaa yao.
Mwambie mwenzako huyo..kenya inaongoza afrika kwa kuuzia chakula UN....