Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device
Hapa tulipigwa changa na utapeli
2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto Biteko, nakumbuka kuna kikao kimoja aliwafukuza TANESCO…. watoke but hadi leo umeme ni wa mgao maeneo mengi….. huu nao ulikuwa ni utapeli
3. Ujenzi wa Barabara ya Bigwa - Kisaki Morogoro(Kuanza na KM 70), 2023/2024. As we speak , Hata bango hakuna,
hapa tumepigwa changa, je Serikali Inampango gani na hii barabara, au ni UTAPELI mwingine?
4. Ahadi ya Mchungaji Gwajima kuifanya kawe kuwa ni A walk to remember sambamba na kusaidia vijana wa kawe kwenda Japan kupata mafunzo ya muda mrefu: as we speak , barabara za kawe ni mbovu, maji shida, na hakuna kijana aliesafirishwa…… Je wanakawe, mtaendelea kumchagua huyu au nao ni UTAPELI mwingine?
Weka Ahadi hewa nyingine ambazo viongozi wetu wa CCM wameshindwa kutimiza huku wananchi wanakauka damu na tozo pamoja na kodi za TRA