Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa!
Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa kufanya nini kama sio kukufukuza kazi kwa njia ileile waliyo kuingiza kazini yaani KURA? Au watumie utaratibu wa kibunge na kikatiba kukupigia kura ya Vote of no confidence? Maana sio jinai na ukituma watu kuwanyamazisha utakuwa wewe ndio unamkosea Mungu na Katiba maana yote ni halali.
Hata thread hii ni halali pia.