Huyo Ni mtangazaji bwana...aniatwa Hamisi..aka B12 .. B dozen...B twangala twizi..
Zamani nlikua namsikiliza huko double XL ...CloudsFm...siku Hizi kahamia EFM anakipi ndi kinaitwa Empire na Jonijo..
Sasa ndo uone Nani anasikiliza hivyo vipindi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]