Ahadi ya kuua CHADEMA kabla ya 2020 imefikia wapi? Tunaomba mrejesho

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
FB_IMG_1572113283461.jpg

Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .

Naomba kuwasilisha .
 
Yule anaetakiwa hajawekwa kwenye target vizuri si umeona aliweka pale kinondoni sniper akakosea ikaenda kuondoka na akwikina wa watu
View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .

Naomba kuwasilisha .
 
Trillion nakuona online ni vema ukitupa maoni yako
 
View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .

Naomba kuwasilisha .
Mkuu chanzo cha hili povu ni kauli ya makonda nini!
 
Photoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!
 
Mkuu chanzo cha hili povu ni kauli ya makonda nini!
Kisiasa Makonda ni dagaa tu , hajawahi kunishughulisha , hebu muulize jina lake halisi ni lipi kati ya Daudi Bashite au Paulo Makonda , lingine muulize kwanini hahudhurii misiba ya ndugu zake wa ukoo wa Bashite , akikujibu njoo ulete mrejesho
 
Tupe jibu wewe dada!!
 
Kumbe nilifikiri wamewaruhusu mikutano wakati mnalalamika kuzuiwa kufanya mikutano!
Hawajaruhusu kutokana na uoga , 2015 mgombea wao alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya mgombea wa UKAWA aliyebamiza kura zaidi ya mil 10 , lakini wapinzani wanahitaji wiki moja tu kuiteketeza ccm nchi nzima , wala hatuna shaka yoyote
 
View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .

Naomba kuwasilisha .
Bado wanawatafutia kesi,maana biashara ya kununua wabunge madiwani imedorora
 
Back
Top Bottom