SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Tunachoshuhudia ni ccm kusajili *******
We jamaa huyu mtu kakukosea nini?Tunachoshuhudia ni ccm kusajili *******View attachment 1245767
Hatuna mpangoPhotoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!
Unajua ndugu wewe ndiyo mwenda wazimu namba moja, nani anaweza kujua yule nzi anayetua kwenye mwili ama chakula chako lini ama saa ngapi, ijekuwa kifo cha chama chenye washabiki na wanachama wasiopungua milioni 5000000.tukuulize wewe
Endelea kuota dada!!Hawajaruhusu kutokana na uoga , 2015 mgombea wao alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya mgombea wa UKAWA aliyebamiza kura zaidi ya mil 10 , lakini wapinzani wanahitaji wiki moja tu kuiteketeza ccm nchi nzima , wala hatuna shaka yoyote
Mbona 'kesi' inaendelea! Subiri tu wakati ukitimia, utayasikia mengi hapo mwakani ya kustaajabisha.Bado wanawatafutia kesi,maana biashara ya kununua wabunge madiwani imedorora
Walikuwa wanashindana na nani , polisi ni chama cha siasa ?Tangu mwaka 2016 chadema haijawahi kushinda uchaguzi wowote
Ni kada mpya wa chama tawala na mbunge mtarajiwa wa Kongwa,swali lingine tafadhaliWe jamaa huyu mtu kakukosea nini?
Na alikuwa nani wako? Au ni nani?
Nimepitia thread kadhaa nimeona unamposti sana[emoji849]
Subiri baada ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Subiri chaguzi chama kujua Kiko hai au kimekufa huangili watu wanaojaa mikutanoni ni matokeo ya chaguzingoja niagize unywaji.. Ili niwasikie wana CCM na hoja zao mgando!
Walishangilia sana walipo isambaratisha cuf. Kwa kuwahonga mahakimuView attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Ule siyo uchaguzu wa kujipima kama chama makini umejaa hila nyingiPhotoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!
Kukimbia na masanduku ya kura? Ila tahadhari mumeshapewa , hamna polisi wa kupeleka kila mtaa au kijiji hivyo wakiiba ni risk yao wenyewe waibaji kama kibaka anayepora SAA 7 mchana KariakooPhotoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!