Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
na mimi nimeagiza mchemsho wa swala nawasubiringoja niagize unywaji.. Ili niwasikie wana CCM na hoja zao mgando!
tukuulize weweKwani Chadema ipo hai?
View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Mkuu chanzo cha hili povu ni kauli ya makonda nini!View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Shetani hajawahi kumshinda MunguYule anaetakiwa hajawekwa kwenye target vizuri si umeona aliweka pale kinondoni sniper akakosea ikaenda kuondoka na akwikina wa watu
Photoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
ukiniuliza nitakupa jibu la kuudhi...tukuulize wewe
Si mlisema mmezuiwa kufanya mkutano huwa ni wa 2015 au?Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kisiasa Makonda ni dagaa tu , hajawahi kunishughulisha , hebu muulize jina lake halisi ni lipi kati ya Daudi Bashite au Paulo Makonda , lingine muulize kwanini hahudhurii misiba ya ndugu zake wa ukoo wa Bashite , akikujibu njoo ulete mrejeshoMkuu chanzo cha hili povu ni kauli ya makonda nini!
Asante mkuuCHADEMA haiwezi kuuliwa na washamba na malimbukeni, wanunua PhD na wafoji vyeti.
Haitakaa itokekee..βπΎβπΎβπΎπͺπΎπͺπΎπͺπΎ
Tupe jibu wewe dada!!Kisiasa Makonda ni dagaa tu , hajawahi kunishughulisha , hebu muulize jina lake halisi ni lipi kati ya Daudi Bashite au Paulo Makonda , lingine muulize kwanini hahudhurii misiba ya ndugu zake wa ukoo wa Bashite , akikujibu njoo ulete mrejesho
huu ni wa 2015 kabla ya ahadi ya kishetaniSi mlisema mmezuiwa kufanya mkutano huwa ni wa 2015 au?
Kumbe nilifikiri wamewaruhusu mikutano wakati mnalalamika kuzuiwa kufanya mikutano!huu ni wa 2015 kabla ya ahadi ya kishetani
Hawajaruhusu kutokana na uoga , 2015 mgombea wao alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya mgombea wa UKAWA aliyebamiza kura zaidi ya mil 10 , lakini wapinzani wanahitaji wiki moja tu kuiteketeza ccm nchi nzima , wala hatuna shaka yoyoteKumbe nilifikiri wamewaruhusu mikutano wakati mnalalamika kuzuiwa kufanya mikutano!
Bado wanawatafutia kesi,maana biashara ya kununua wabunge madiwani imedororaView attachment 1245728