Ahadi ya kuua CHADEMA kabla ya 2020 imefikia wapi? Tunaomba mrejesho

Tangu mwaka 2016 chadema haijawahi kushinda uchaguzi wowote
 
tukuulize wewe
Unajua ndugu wewe ndiyo mwenda wazimu namba moja, nani anaweza kujua yule nzi anayetua kwenye mwili ama chakula chako lini ama saa ngapi, ijekuwa kifo cha chama chenye washabiki na wanachama wasiopungua milioni 5000000.

Katafute kazi nyingene wewe hukiendi hiko chama, kila siku unakuja na hoja ya kifo cha CDM. Mie mwana CCM nina imani hakifi leo na hakifi kwa matakwa ya mtu ama watu, hata awe pandikizi kama wewe
 
Hawajaruhusu kutokana na uoga , 2015 mgombea wao alipata kura mil 3 unusu tu dhidi ya mgombea wa UKAWA aliyebamiza kura zaidi ya mil 10 , lakini wapinzani wanahitaji wiki moja tu kuiteketeza ccm nchi nzima , wala hatuna shaka yoyote
Endelea kuota dada!!
 
Nimeona kituko sehemu Ars kura za maoni CCM, walihudhuria watu kama 120 tuu!!
Lakini waliojiandikisha kupiga kura eneo hilo ni zaidi ya 800.
Hiyo ratior inakupa picha watu
wamenyamaza wanangoja kutoa dozi.
 
Nimeona kituko sehemu Ars kura za maoni CCM, walihudhuria watu kama 120 tuu!!
Lakini waliojiandikisha kupiga kura eneo hilo ni zaidi ya 800.
Hiyo ratior inakupa picha watu
wamenyamaza wanangoja kutoa dozi.
 
Nimeona kituko sehemu Ars kura za maoni CCM, walihudhuria watu kama 120 tuu!!
Lakini waliojiandikisha kupiga kura eneo hilo ni zaidi ya 800.
Hiyo ratior inakupa picha watu
wamenyamaza wanangoja kutoa dozi.
 
We jamaa huyu mtu kakukosea nini?

Na alikuwa nani wako? Au ni nani?

Nimepitia thread kadhaa nimeona unamposti sana[emoji849]
Ni kada mpya wa chama tawala na mbunge mtarajiwa wa Kongwa,swali lingine tafadhali
 
Walishangilia sana walipo isambaratisha cuf. Kwa kuwahonga mahakimu
 
Photoshop! Subiri uchaguzi wa tarehe 24 Novemba 2019 na 2020! Akili itakurudia ila usilalamikie umeibiwa kura!
Kukimbia na masanduku ya kura? Ila tahadhari mumeshapewa , hamna polisi wa kupeleka kila mtaa au kijiji hivyo wakiiba ni risk yao wenyewe waibaji kama kibaka anayepora SAA 7 mchana Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…