Naona kama umekurupuka.View attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Muulizaji hajawahi kuwa mkurupukaji , shida yake ni majibu tu , ni kama hivi ulivyosema tusubiri novemba , basi na sisi twasema inshaallah !Naona kama umekurupuka.
Si ungengoja matokeo ya November?
Upi sasa uchaguzi wakujipima mkuuUle siyo uchaguzu wa kujipima kama chama makini umejaa hila nyingi
Sawa mkuu shukran, nimekupata. Jina lake ni lipi?Ni kada mpya wa chama tawala na mbunge mtarajiwa wa Kongwa,swali lingine tafadhali
Kwani Chadema ipo hai?
Pia wauaji, watekaji, wafungaji watu kwenye viroba.CHADEMA haiwezi kuuliwa na washamba na malimbukeni, wanunua PhD na wafoji vyeti.
Haitakaa itokekee..βπΎβπΎβπΎπͺπΎπͺπΎπͺπΎ
Sasa waliojiandikisha ni ccm tu? Subir 2020Nimeona kituko sehemu Ars kura za maoni CCM, walihudhuria watu kama 120 tuu!!
Lakini waliojiandikisha kupiga kura eneo hilo ni zaidi ya 800.
Hiyo ratior inakupa picha watu
wamenyamaza wanangoja kutoa dozi.
subiri hiyo 2020 ujionee mwenyeweView attachment 1245728
Hii ni ahadi iliyotolewa na viongozi wa ccm , gizani na hadharani , huu ni mwaka 2019 karibu kabisa na Novemba , sasa ni vema watoa ahadi watupe mrejesho wa njama zao za kishamba zilizoambatana na ushetani zilipofikia .
Naomba kuwasilisha .