Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Agenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha.
Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.