Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nchi ina vituko sana hii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Aiseeee hii nchi bhana inamakandokando mengi sana.
Wanataka kuona namna anavyoshika mjegeje πππππππArusha wana kero za kishamba hivyo, hawakuwahi kumuona kwenye TV wanataka wamuone Live!
ππππππππAngesaidia watu kupata miili ya ndugu zao iliyozuiliwa mahospitali angekuwa amefanya la maana sana.
Watu wa arusha si washamba kiasi hiko, sio watu wa simiyuAgenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha.
Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.
Si ndio hicho walicho ahidiwa na Makonda π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Watu wa arusha si washamba kiasi hiko, sio watu wa simiyu
Kazi kweli kweliAgenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha.
Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.