Ahadi yangu kwa Taifa Stars

Ahadi yangu kwa Taifa Stars

MENERIKI II

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
642
Reaction score
1,294
Habari wana JF wenzangu Mimi MENERIKI II naweka ahadi kwa timu yangu ya Taifa Stars, ikipata point 3 katika Kundi lake kila Mchezaji nitamnunulia SODA.

Naomba ikiwezekana wafikishiwe hii taarifa ili wajitume walau waambulie hata SODA ya MENERIKI II.
 
Labda wabadilike kiuchezaji lakini kwa uchezaji ule kama wamelogwa na yanga hata point 1 hawapati.
 
Back
Top Bottom