OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM.
Sina shida wa kuwapa pesa ili wapambane kushinda,lakini mnawapa pesa ili kufanya fujo wachezaji wa Simba washindwe kucheza mpira na pia wapate majeruhi ilete athari kwa mechi zijazo.
Vyombo vinavyohusika vichunguze hii rushwa