OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kamia lakini usiwadhuru wachezaji wenzako maana hayo ndio maisha yao, sasa mambo ya karate yanaingiaje kwenye soka?Ata Makonda alishawahi kufanya hivyo ili KMC waibanie Yanga na kweli KMC wakajipatia mamilioni tatizo mbumbumbu fc mna sahau mapema.
Karate alicheza Kennedy Juma mechi ya Simba na biashara, Chakushangaza hakupewa kadi nyekundu Wala Kennedy hakufikuria yule mchezaji wa biashara mpira ndio maisha yake, Na mashabiki wa mbumbumbu fc waliona ni Jambo la kawaida katika soka.Kamia lakini usiwadhuru wachezaji wenzako maana hayo ndio maisha yao, sasa mambo ya karate yanaingiaje kwenye soka?
Jikiteni kutengeneza kikosi acheni mambo ya kipumbavu mnabwekabweka apa kwaiyo na mugalu anapewa shingap kupaisha mipira juu au kupiga nje, nyie iyo si ndio ilikuwa michezo yenu misimu iliyopita mnaonga timu pinzani kuibania yanga, Leo hii ndo mmeona ni kitu kibaya kwanini kipindi kile amkukemea? Ovyo kabisa nyieView attachment 1959865
View attachment 1959866
View attachment 1959867
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM.
Sina shida wa kuwapa pesa ili wapambane kushinda,lakini mnawapa pesa ili kufanya fujo wachezaji wa Simba washindwe kucheza mpira na pia wapate majeruhi ilete athari kwa mechi zijazo.
Vyombo vinavyohusika vichunguze hii rushwa
AiseeeeView attachment 1959865

Mkuki kwa Nguruwe,kuimba kupokezana,mpira pasi na kutesa kwa zamu.View attachment 1959865
View attachment 1959866
View attachment 1959867
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM.
Sina shida wa kuwapa pesa ili wapambane kushinda,lakini mnawapa pesa ili kufanya fujo wachezaji wa Simba washindwe kucheza mpira na pia wapate majeruhi ilete athari kwa mechi zijazo.
Vyombo vinavyohusika vichunguze hii rushwa
Sawa lkn makonda alitoa ahadi endapo kama wakiwafunga hao yanga atatoa mpunga,, ila shida ya gharib said Mohammed yeye anatoa ahadi ya kuwavunja viuno unapata mzigo, sasa wewe unaona imekaaje hiiMkuki kwa Nguruwe,kuimba kupokezana,mpira pasi na kutesa kwa zamu.View attachment 1959976
Lete evidences za hizo ahadiSawa lkn makonda alitoa ahadi endapo kama wakiwafunga hao yanga atatoa mpunga,, ila shida ya gharib said Mohammed yeye anatoa ahadi ya kuwavunja viuno unapata mzigo, sasa wewe unaona imekaaje hii
Pumba tupuSawa lkn makonda alitoa ahadi endapo kama wakiwafunga hao yanga atatoa mpunga,, ila shida ya gharib said Mohammed yeye anatoa ahadi ya kuwavunja viuno unapata mzigo, sasa wewe unaona imekaaje hii
Evidence gani unayoitaka zaidi ya yule mbunge kutangaza dau japo mzigo wa gharib, na karate zilizochezwa jana mpaka kusababisha. majeruhi kwa wachezaji wa simbaLete evidences za hizo ahadi
Ushahidi ni huu hapa.Ata Makonda alishawahi kufanya hivyo ili KMC waibanie Yanga na kweli KMC wakajipatia mamilioni tatizo mbumbumbu fc mna sahau mapema.