Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Hizo ni ahadi za TANU ambazo CCM ilianza nazo, ahadi hizo zilitoka kwenye Azimio la Arusha lililotangaza Tanzania kuwa ni nchi ya Ujamaa na Kujitegemea na kuweka miiko ya uongozi.Miongoni mwa hizo ni ahadi nilizoahidi wakati napokea kadi yangu ya uanachama wa CCM kutoka kwa mwalimu JK Nyerere katika Uwanja wa Samora mjini Iringa.
Hizi ahadi zimekaa vizuri sana, je bado zinatekelezeka ndani ya chama?
Baada ya Mwinyi kuingia wakapitisha Azimio la Zanzibar, likaipindua miiko ya uongozi na kulizika Azimio la Arusha, huo ukawa mwisho wa ahadi za mwana TANU ndani ya CCM.
P