PreGE2025 Ahadi za Gwajima Kujenga Ofisi za CCM Ghorofa Zazaa Magofu Kawe

PreGE2025 Ahadi za Gwajima Kujenga Ofisi za CCM Ghorofa Zazaa Magofu Kawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Baada ya kushindwa kuyatekeleza aliyoahidi. ninyi wenyewe ndani ya chama chenu mlimchukulia hatua gani?

au mnakuja sasa hivi kumu atack baada ya kuhoji utekaji?

Msilete hadithi za kitoto watanganyika wa miaka hii wanajielewa sana ila wanaamuaga tu kukaa kimya na kukosa UNIT..
 
Ofisi za ccm zinatuhusu nn? Ni hospital au shule hizo? Acha upumbavu
 
Baada ya kushindwa kuyatekeleza aliyoahidi. ninyi wenyewe ndani ya chama chenu mlimchukulia hatua gani?

au mnakuja sasa hivi kumu atack baada ya kuhoji utekaji?

Msilete hadithi za kitoto watanganyika wa miaka hii wanajielewa sana ila wanaamuaga tu kukaa kimya na kukosa UNIT..
Chakandumuz mmepotea kirahisi sana

Sasa hivi hakuna agenda wala nini

Ni kujibizana na kutukanana tu mitandaoni
 
Katika vitabu vya historia ya siasa, kuna sura ambazo huandikwa kwa wino wa aibu na masikitiko. Hii ni moja ya hizo. Ni simulizi ya mwanasiasa aliyejivika joho la mkombozi, akawaahidi wanachama wa CCM Kawe “miujiza” ya maendeleo, lakini akawatelekeza katikati ya ahadi hizo.

Josephat Gwajima, akitokea kwa kishindo kama mvuvi wa roho, aliingia Kawe kwa maneno matamu na ahadi za kuvutia kuwa kila kata itapata ofisi mpya ya CCM ya ghorofa.

Akawaaminisha, akawasukuma, wakavunja ofisi zao za zamani alizozikuta zikibeba historia ya chama na jasho la wazee waliopigania rangi ya kijani.

Akapeleka matrekta, akaangusha kila paa, kila ukuta kwa ndoto ya kisasa iliyojengwa kwa hewa.

Lakini ndoto hiyo iligeuka mzimu. Ofisi mbili tu ndizo zilizoanza kujengwa, nazo zimeishia usawa wa madirisha, zikiwa kama sanamu za mashaka.

Kata nyingine zimebaki na mawe ya ahadi, na CCM Kawe sasa inafanya shughuli zake katika ofisi za kukodi, jambo linalowafanya wanachama wajisikie kama wapangaji ndani ya nyumba yao wenyewe.

Hasira zimefika kileleni. Gwajima sasa anaitwa “Kibwetere wa Kawe,” jina lenye kumbukumbu ya udanganyifu wa kiimani, lililojaa hila, tamaa na usaliti.

Wanachama wanahoji: Je, hii ndiyo CCM aliyoiombea kura? Je, hii ndiyo dhamira ya ujenzi wa chama, au ni jukwaa la maigizo ya kisiasa?

Simulizi hii ya Kawe inabaki funzo kuwa si kila anayetoa ahadi ni mjenzi, na si kila mnara wa maneno huzalisha matofali.

Chama kinahitaji viongozi wenye uaminifu, si wasanii wa ndoto.

Alamsiki!
Mimi binafsi narudia na kurudia tena Bishop Gwajima si mtu wa kumuamini 100% he is hyprocrit leader with failure values.
 
Kama mnaweza kwenda kuota wakenya wamtukane rais wenu bila haya Mtakua mna nini kimebaki?
Kweni ni sisi ndio tumemtuma awateke Bonny na Agatha na kuwapiga kuwabaka na kuwalawiti?
 
Kweni ni sisi ndio tumemtuma awateke Bonny na Agatha na kuwapiga kuwabaka na kuwalawiti?
Unadhani ni nani sasa?

Hizi pesa mnqzolipwa kuleta chokochoko mbaya sana

Mmewaponza wale mabwege, wakaliwpa na Maria, wakaja, mkawatosa, Kwa kutumia vikundi vyenu mkawalawiti ili ionekane ni serikali, mlipokosa traction mkawatupa border

Sasa mmemaliza verses

Mna roho mbaya sana

Na hao mnaokodi watukane mitandaoni Mtawafanya hivyohivyo aisee

Mungu atawanyoosha tu
 
Mmewaponza wale mabwege, wakaliwpa na Maria, wakaja, mkawatosa, Kwa kutumia vikundi vyenu mkawalawiti ili ionekane ni serikali, mlipokosa traction mkawatupa border
Mbona watu wanaenda Uganda kusikiliza kesi hawatekwi kubakwa wala kuulawitiwa na vyombo vya dola za huko?

Mama yenu ni muuaji tu kisikiliza kesi ya Lissu tokea lini kumekuwa ni kosa?
 
Mbona watu wanaenda Uganda kusikiliza kesi hawatekwi kubakwa wala kuulawitiwa na vyombo vya dola za huko?

Mama yenu ni muuaji tu kisikiliza kesi ya Lissu tokea lini kumekuwa ni kosa?
Wameenda lini

Btw wabakaji si nyie chandumu??
 
Back
Top Bottom