Ahadi ni jambo la kawaida sanaa
Ata huku mtaani tunaahidiana vitu kibao, yapo yatekelezekayo na yapo yasiyotekelezeka na kubaki kuwa ahadi
Baby: kwani utaniacha
Mimi: apana sikuachi ... love uuu
Baby: mbona siku hizi umepunguza amsha amshaaa
Mimi: nipo bize
Baby: hunijali
Mimi: ......... (angelijua nko kwa Zuuu now days asingehangaikaa)