kweli kamala ni kihiyo au alikuwa copy and paste kwennye thesis yake, je ameisha fanya uchunguzi wa bei ya vitu mbali mbali kenya, uganda, tanzania, burundi, na rwanda akaona hiyo tofauti inasababishwa na nini? tena bidhaa zingine zinapitia hapa hapa tanzania au kutoka bukoba kwenda nchi jirani lakini bei za wenzutu zikawa most favourable kuliko zetu.
mfano gharama za simu uganda ni rahisi kuliko kenya na tanzania, why? unaweza kukuta bei ya petrol uganda ni rahisi kuliko tanzania, yeye kama msomi na waziri wa hiyo afrika mashariki na mwenye dhamana ya kuangalia maslahi ya nchi yanalindwa angekuja na data za kutosheleza kutetea huo upuuzi wake, ndio maana Kalonzo Msyoko angependa hii serikali iendele maana haijui inachofanya.