Elections 2010 Ahadi za Slaa hazitekelezeki!

Elections 2010 Ahadi za Slaa hazitekelezeki!

kweli kamala ni kihiyo au alikuwa copy and paste kwennye thesis yake, je ameisha fanya uchunguzi wa bei ya vitu mbali mbali kenya, uganda, tanzania, burundi, na rwanda akaona hiyo tofauti inasababishwa na nini? tena bidhaa zingine zinapitia hapa hapa tanzania au kutoka bukoba kwenda nchi jirani lakini bei za wenzutu zikawa most favourable kuliko zetu.
mfano gharama za simu uganda ni rahisi kuliko kenya na tanzania, why? unaweza kukuta bei ya petrol uganda ni rahisi kuliko tanzania, yeye kama msomi na waziri wa hiyo afrika mashariki na mwenye dhamana ya kuangalia maslahi ya nchi yanalindwa angekuja na data za kutosheleza kutetea huo upuuzi wake, ndio maana Kalonzo Msyoko angependa hii serikali iendele maana haijui inachofanya.
 
My msg to Kamala:

Nkenge walikukataa kwa sababu ya ujinga kama huu. Kama mwenye Phd anafanya analysis ya namna hii, wenye elimu ya msingi ndani ya chama hiki watafanya analysis ya namba gani?
 
Hivi kodi ikilipwa inakwenda kwenye kiwanda? mimi sikujua nilidhani inakwenda serikalini! angalia kwenye red hapo!!
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Mapadre wamebakaaaaaaaaaaaaa,wakalawitiiiiiiiiiiiiiiiiii,sasa wanaamua kuutaka urais,naapa kwa jina la mungu aliye hai daima,na kwa kuutumia uwingi wetu nchi,hasa ukizingatia wengine tuna wake wawili ,watatu,na wanne,kampenzi zetu ni za kitanda kwa kitanda,kura za waislamu mwaka huu only ni kwa ajili ya maslahi ya dini yetu,na si vinginevyo

mwaka kesho mwezi huu tunazungumzia habari ya kadhi na oic si habari ya padre kutaka ikulu,akafungue makanisa kule karatu

Piga kura ya kukuletea maendeleo kwanza and then upigie dini. Huu si uchaguzi wa kumsimika Sheikh au Padri au Askofu, ni uchaguzi wa kumuweka yule atakayebadilisha hali ngumu ya maisha ya mtanzania na kuifanya iwe nafuu.

Watanzania, tufunguke akili na kuacha hizi propaganda za kidini zinazotuyumbisha.
 
Hivi huyu jamaa ni dokta wa nini? kasomea chuo gani? na research yake ya udokta alifanya kwenye eneo gani?

Ila kama mtazamo wa huyu dokta ni huu nina wasiwasi na mikataba (protocols) waliyotia saini kwenye hiyo EAC kwani inawezekana wameshauza uhuru wa nchi bila ya wananchi kuwa na taarifa.
 
My msg to Kamala:

Nkenge walikukataa kwa sababu ya ujinga kama huu. Kama mwenye Phd anafanya analysis ya namna hii, wenye elimu ya msingi ndani ya chama hiki watafanya analysis ya namba gani?

Hivi ni dokta wa nini? amesoma chuo gani? amefanya research yake kwenye eneo gani? isije ikawa tunamsingizia udokta huyu bwana.
 
vichwa vyao na hakili zao ndo hazitabiriki wala hazitekelezeki, ila ahadi za slaa PHd zinatekelezeka.
 
Kamala: Uongozi ni kuonyesha njia. Hata huko Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda wanataka nyumba bora na maisha mazuri. Ikijengwa hoja kama ilivyojengwa tutabadilisha. Kwamba nyie hamuwezi haina maana kwamba na wengine hawawezi. On a more serious note, huwezi kufikiria vitu vya maendeleo kwa nchi yako on the basis ya nchi nyingine-huo ni ujuha kama ulivyo. Yaani tuache kufikiria ku-reform our systems tax, education, etc hadi tusubiri wenzetu watasemaje. Woga, uvivu wa kufikri, uwezo mdogo wa kushawishi miongoni mwa tuliowakabidhi dhamana ya uongozi ndio kumetufikisha watz tuwe watazamaji katika EAC. Juzi wakenya wamefanya mabadiliko makubwa sana ikiwemo kuandika katiba upya, mbona hawakutuuliza sisi? Nani amekwambia EAC imekuja kuua fikra na utaifa wetu? Naanza sasa kuelewa kwa nini wana CCM wa Nkenge waliamua kukuweka pembeni. Pole sana but your arguments are simply too weak and unnecessary, halafu ndio Habari Leo inakuwa habari ya kwanza muhimu. What a shame!!
 
Mi nadhani ni kweli kabisa za slaa hazitekelezeki za JK zinatekelezeka kabisa kama
1. Kujenga machinga complex 5 in dar (ili hali ile moja mpaka leo sijui kama imefanya kazi)
2. kujenga fly-overs sijui kumi katika jiji la dar (ilhali barabara zina pot holes
3....name them
 
Hivi habari leo wanaweza kuandika kichwa cha haabari kwamba "ahadi za kikwete hazi tekelezeki"? kama hapana hili ni gazeti la serikali au la ccm?

Kwa mfano kigoma kuwa kama dubai,hii ni kweli?
 
hili gazeti la ccm leo ni balaa kweli,hapo yangekua magazeti mengine ingeshakua kasheshe tayari
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! Mapadre wamebakaaaaaaaaaaaaa,wakalawitiiiiiiiiiiiiiiiiii,sasa wanaamua kuutaka urais,naapa kwa jina la mungu aliye hai daima,na kwa kuutumia uwingi wetu nchi,hasa ukizingatia wengine tuna wake wawili ,watatu,na wanne,kampenzi zetu ni za kitanda kwa kitanda,kura za waislamu mwaka huu only ni kwa ajili ya maslahi ya dini yetu,na si vinginevyo

mwaka kesho mwezi huu tunazungumzia habari ya kadhi na oic si habari ya padre kutaka ikulu,akafungue makanisa kule karatu
kua makini na unenayo mkuu maana yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani.kama ni mtu timilifu elewa na uepuke maneno ya namna hiyo.....think critically, conclude intellectually and act maturelly
 
Namsikitikia anayekejeli ahadi za dr slaa, kwa miaka 50 ya ccm tuliahidiwa mengi lakini hayakutekelezwa. Wacha dr apate wajukuu wetu wasome bure,na wananchi wetu waache kujenga nyumba za miti. Watoto wako kasomeshe nje ya nchi.
 
download
 
Kenya na genge lake wanamuendorse Kikwete kwa sababu wanajua hawezi kutoka kwenye mtego wao.
Haiwezekani masuala yetu ya uchumi yapangwe kwa maelekezo kutoka nje eti kwa sababu tunatekeleza mkataba.
Naamini ninawezekana kushusha sementi mpaka shs elfu tano kwa sababu kama mapato yatakusanywa na kusimamiwa kikamilifu basi hakuna kinachoshindikana.
CCM hawawezi ndo maana wanahaidi badala ya kutekeleza.

Mnaposema kwamba CHADEMA haijatekeleza sera yeyote mjue kuwa huo ni ujuha wa kipropaganda. lini CHADEMA walishika hatamu za uongozi wa nchi? mandate ya kutekeleza sera ni kura zetu ambazo tutawapa CHADEMA.
this tyme manyang'au wapo tumbo joto. na hatuwapi kura zetu.

ingawa mmeshaanza vitisho kwa baadhi yetu lakini mimi nasema kwamba mtazima sauti lakini mwangwi utawaumbua.
 
Alisema chini ya kifungu 2(4)(c) cha Itifaki ya Umoja wa Forodha wa Afrika Mashariki, nchi wanachama zilikubaliana kuweka na kutekeleza wigo wa pamoja wa ushuru wa forodha kwa bidhaa zitokazo nje ya Jumuiya.

Kufuatana na maelezo hapo juu Umoja wa forodha wa Africa Mashariki umeweka wigo; wataalamu wa kiswahili wanaweza kutusaidia ila mimi kwa kiswahili changu nilichosoma shule ya msingi hadi darasa la 12 najua wigo ni sawa na kizuizi cha kumfanya mtu asiingie kwenye eneo lako kirahisi. Kifungu cha hapo juu kinasema kuweka na kutekeleza wigo wa pamoja wa USHURU WA FORODHA KWA BIDHAA ZINAZOTOKA NJE YA JUMUIYA. Hii ina maana ushuru umewekwa kwa bidhaa zinazotoka nje ya jumuiya ya Afrika Mashariki ili zikiingizwa nchini ziwe na bei kubwa ikilinganishwa na bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi.Kusudi ni kuzifanya bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi zinunulike kirahisi na zilie zinazotoka nje ya nchi zisinunulike kirahisi.Ushuru huu unalinda bidhaa za ndani. Unaweza kuona ushuru wa sukari upo juu zaidi kulinda viwanda vyetu vya ndani ukifuatiwa na Mchele, maziwa, vitenge, mahindi kwa kusudi la kumlinda mzalishaji wa ndani na pia selikali inapata mapato makubwa kwa bidhaa kutoka nje.Kwa maelezo haya ushuru wa forodha wa pamoja wa nchi za Afrika Mashariki haugusi simenti inayozalishwa hapo wazo hill dar es salaam, ama ile inayozalishwa Tanga na Mbeya. Kwa msingi huu ushuru wa bidhaa za ndani unaweza kuamriwa na nchi husika, hivyo bei ya simenti na bidhaa zote zinazozalishwa ndani zinaweza ondolewa ushuru ili bei ipungue wananchi wanunue kwa bei nafuu wajenge nyumba. AHADI HII INATEKELEZEKA BILA MGOGORO KWA UMOJA WA FOROHA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI.
 
Back
Top Bottom