Mmmmm, Mbunge anaisimamia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lake!,means Mbunge anaisimamia serikali iliyopo kwenye jimbo lake?,majimbo mengi yapo hoi kwenye social services wa wananchi, means wabunge nao wamefeli na kuwa mafisadi dhidi ya wapiga kura wao!,wabunge 3 wa wilaya ya Lushoto natamani niwapige vibokoKazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.
Mnadanganywa kipimbi sana