Ahadi za Wabunge Batili, Weka Ahadi ya Mbunge wako na Je aliitimiza?

Ahadi za Wabunge Batili, Weka Ahadi ya Mbunge wako na Je aliitimiza?

Kazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.

Mnadanganywa kipimbi sana
Mmmmm, Mbunge anaisimamia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lake!,means Mbunge anaisimamia serikali iliyopo kwenye jimbo lake?,majimbo mengi yapo hoi kwenye social services wa wananchi, means wabunge nao wamefeli na kuwa mafisadi dhidi ya wapiga kura wao!,wabunge 3 wa wilaya ya Lushoto natamani niwapige viboko
 
walio nunuliwa ,kuunga mkono juhudi,kupita kwa kishindo na ccm kwa ujumla labda wafanye kama yaliyopita tena
 
Mmmmm, Mbunge anaisimamia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lake!,means Mbunge anaisimamia serikali iliyopo kwenye jimbo lake?,majimbo mengi yapo hoi kwenye social services wa wananchi, means wabunge nao wamefeli na kuwa mafisadi dhidi ya wapiga kura wao!,wabunge 3 wa wilaya ya Lushoto natamani niwapige viboko
Sikiliza hata Mbunge asipo kuwepo jimbo likawa halina mbunge still kama kuna project za kupelekwa huko zitapelekwa tu.
 
Kama mliipokea hiyo ahadi nyie ni wajinga sana. Kuendesha bodaboda kunahitaji digrii? Ni dhambi kwa vijana wa taifa hili walio na elimu ya chuo (tertiary education), halafu wanaendesha bodaboda au kulima kwa jembe la mkono au shughuli nyingine kama hizo. Sio dhambi zao kwa vile wao lazima watafute riziki kwa njia yoyote wapate kuishi, lakini ni dhambi kwa viongozi na watunga sera wa taifa hili.
Tanzania mambo mengi hayajakaa sawa.

1. Spirit ya entrepreneurship bado ipo chini sana. Mtaani hustle za kawaida sana labda zinazofanywa na wageni na watz wachache. Chunguza.

2. Vijana hawaajiriki mzee. Kifupi hawana skills ambazo wewe kama mwajiri utasema ok ngoja nikulipe tzs 2.5m/month. Wengi ni mzigo.

Na hii mada ni muhimu sana. Sijaribu kulaumu vijana lakini lazima tujitafakari.

3. Wananchi tumekuwa mazuzu completely.

Kama wewe haupo kwenye kundi hili hongera.

Ila nakwambia sisi watanzania kwa umoja wetu ni rahisi sana kuingizwa kingi sasa hapa wachache wenye akili kubwa wanawaibia watanzania wapumbavu. Inasikitisha lakini ndiyo ukweli huo.

4. Wananchi kuchagua viongozi mazuzu kila uchaguzi.

Sawa utasema aah CCM inaiba kura lakini nakwambia memory ya wapiga kura wengi ni fupi na wakipewa ahadi fake lakini nzuri husahau kila kitu. Mifano ipo mingi.

Tumlaumu nani?

Hakuna ni sisi wenyewe.
 
Sikiliza hata Mbunge asipo kuwepo jimbo likawa halina mbunge still kama kuna project za kupelekwa huko zitapelekwa tu.
Hii Tanzania ninayoijua mimi au Ile ya kusadikika, then why kila Bunge linapokutana,ni wabunge kulalama kupelekewa huduma hizi?,au mimi na wewe tumo Tanzania iliyo tofauti?
 
Wabunge kazi yao kikatiba ni kuisimamia Serikali na kutunga sheria, kazi ya Mbunge sio kuleta Maendeleo, hizi ni hadaaa, na wajinga kama wewe mnaingia king.

Mbunge anawambia atatoa ajira na nyie mlivyo mazezeta mnashangilia
Uko sahihi, wabunge kazi yao kikatiba ni kuisimamia Serikali. Na pia kuchukua matatizo, maoni na changamoto za wananchi kuzipeleka serkalini kupitia bunge. Ccm inalea watanzania kuwa wajinga- mfano magufuli aliwaambia mkichagua wawakilishi wa vyama pinzani sitawaletea maendeleo, nao wakaona kauli ilikuwa sahihi, bila kumhoji kama hiyo fedha ya kuleta maendeleo ni yake au kodi za wananchi. Ile ilikuwa kauli potofu kabisa ya kuonyesha namna alivyokuwa mbaguzi. Amkeni jamani, twende huko halmashauri tukawaulize hizo fedha za bajeti wanazipeleka wapi? Tuwahoji wametenga fedha kiasi gani kwaajili ya barabara za mitaani, zahanati na shule; na ni kiasi gani wametenga kwaajili ya mwenge na mambo mengine ya ovyo.
 
Kazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.

Mnadanganywa kipimbi sana
Kama amekutuma umsaidie kujibu mwambie siku hazi gandi. Ana mwaka mmoja wa kjitwa mbunge wa Vunjo.
Kama sio kazi yake kwanini azuie watu binafsi kuendeleza maeneo getu? Hadi ana kwenda kulalama bungeni kwamba kuna mtu ana muingilia nimboni kwake? Mpe Salaam.
 
Back
Top Bottom