Mmmmm, Mbunge anaisimamia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lake!,means Mbunge anaisimamia serikali iliyopo kwenye jimbo lake?,majimbo mengi yapo hoi kwenye social services wa wananchi, means wabunge nao wamefeli na kuwa mafisadi dhidi ya wapiga kura wao!,wabunge 3 wa wilaya ya Lushoto natamani niwapige vibokoKazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.
Mnadanganywa kipimbi sana
Kubali huna unacho jua, nyie ndio mtaji namba moja wa wanasiasa, mtadanganywa hadi siku mnakufa. endeleeni kudanganywaUtakuwa unawashwa ww sio bure.
Naona kinyeo kinakuwasha.Kubali huna unacho jua, nyie ndio mtaji namba moja wa wanasiasa, mtadanganywa hadi siku mnakufa. endeleeni kudanganywa
Sikiliza hata Mbunge asipo kuwepo jimbo likawa halina mbunge still kama kuna project za kupelekwa huko zitapelekwa tu.Mmmmm, Mbunge anaisimamia serikali kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lake!,means Mbunge anaisimamia serikali iliyopo kwenye jimbo lake?,majimbo mengi yapo hoi kwenye social services wa wananchi, means wabunge nao wamefeli na kuwa mafisadi dhidi ya wapiga kura wao!,wabunge 3 wa wilaya ya Lushoto natamani niwapige viboko
Tanzania mambo mengi hayajakaa sawa.Kama mliipokea hiyo ahadi nyie ni wajinga sana. Kuendesha bodaboda kunahitaji digrii? Ni dhambi kwa vijana wa taifa hili walio na elimu ya chuo (tertiary education), halafu wanaendesha bodaboda au kulima kwa jembe la mkono au shughuli nyingine kama hizo. Sio dhambi zao kwa vile wao lazima watafute riziki kwa njia yoyote wapate kuishi, lakini ni dhambi kwa viongozi na watunga sera wa taifa hili.
Hii Tanzania ninayoijua mimi au Ile ya kusadikika, then why kila Bunge linapokutana,ni wabunge kulalama kupelekewa huduma hizi?,au mimi na wewe tumo Tanzania iliyo tofauti?Sikiliza hata Mbunge asipo kuwepo jimbo likawa halina mbunge still kama kuna project za kupelekwa huko zitapelekwa tu.
Uko sahihi, wabunge kazi yao kikatiba ni kuisimamia Serikali. Na pia kuchukua matatizo, maoni na changamoto za wananchi kuzipeleka serkalini kupitia bunge. Ccm inalea watanzania kuwa wajinga- mfano magufuli aliwaambia mkichagua wawakilishi wa vyama pinzani sitawaletea maendeleo, nao wakaona kauli ilikuwa sahihi, bila kumhoji kama hiyo fedha ya kuleta maendeleo ni yake au kodi za wananchi. Ile ilikuwa kauli potofu kabisa ya kuonyesha namna alivyokuwa mbaguzi. Amkeni jamani, twende huko halmashauri tukawaulize hizo fedha za bajeti wanazipeleka wapi? Tuwahoji wametenga fedha kiasi gani kwaajili ya barabara za mitaani, zahanati na shule; na ni kiasi gani wametenga kwaajili ya mwenge na mambo mengine ya ovyo.Wabunge kazi yao kikatiba ni kuisimamia Serikali na kutunga sheria, kazi ya Mbunge sio kuleta Maendeleo, hizi ni hadaaa, na wajinga kama wewe mnaingia king.
Mbunge anawambia atatoa ajira na nyie mlivyo mazezeta mnashangilia
Kama amekutuma umsaidie kujibu mwambie siku hazi gandi. Ana mwaka mmoja wa kjitwa mbunge wa Vunjo.Kazi ya Mbunge kikatiba sio kuleta maendelea kama hakuna maendelea hapo muulize Mkrugenzi wa Halimashauri. Mbuge anasimamia Serikali na kutunga sheria.
Mnadanganywa kipimbi sana