Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

Mhhh... Wakija Bongo tuende Uhuru... kwani National stadium...tutapigwa kama tumesimama...

Ningeomba wapenzi wa Yanga waliokaribu na uongozi wa akina Madenge wawashauri kukaa pamoja na watani wao wa jadi SIMBA ili wawape mbinu ambazo wanazitumia kuzifunga timu za MISRI, ilo si jambo baya maana Yanga wanawakilisha Taifa na hapo ndipo tutapofungua ukurasa mpya ata Manchester wakati Kean ameumia waliomba ushauri kutoka kwa Doctor wa Arsenal
 
EEbanae bonge la translation!!! kumbe babelfish ndo wako hivi lol!

 

Nani kakwambia SIMBA wana dawa ya Alhy Ahly
 
Jamaa mmisri hapa kazini ananambia Egypt watu wamekasirika sana kwa kuwa Al Ahly wameshinda goli tatu tu wanasema Yanga walideserve zaidi ya hizo.

SAHIBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…