Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

niliposema huyu kipa mzungu garasa mmemuona anadaka hewa
 
oh mungu wangu kumbe huyu chuji yumo....ndo kwanza namuona,kweli mpira kazi za watu.
 
Forward Butu Kichizi.....hata mpira wa maana uliopiga kwa Al Ahly bado...Maftah Bangi anapewa Kadi N....
 
YOUNG-AFRICANs vipi, mbona kimya, Mwingingizeni Kaseja maana alikuwemo kwenye kikosi cha Simba kilichoivua Ubingwa Zamalek hapo Cairo, any way Mpira unanunda.
 
tutalipiza wakija bongo, hatuwapeleki uwanja mpya tunawapeleka kuleeeeee Nangwanda sijaona.
 
Acheni Usimba mbona hamsemi dakika hizi 15 za mwisho yunawashambulia ambani kakosa goli akiwa yeye na kipa mita nne toka golini hawa wakija dar wetu tu
 
Acheni Usimba mbona hamsemi dakika hizi 15 za mwisho yunawashambulia ambani kakosa goli akiwa yeye na kipa mita nne toka golini hawa wakija dar wetu tu
jamaa weshaweka tatu wanapumzika mnatafuta shuka asubuhi!
 
tutalipiza wakija bongo, hatuwapeleki uwanja mpya tunawapeleka kuleeeeee Nangwanda sijaona.

Poleni sana KAGODA FC, naona Mzimu wa Fedha za Walipa kodi umewauta Cairo
 
Back
Top Bottom