Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe naona prediction yangu ya 3-1 inaweza ikatimia!
you mean handsome!?Kipa mzuri sana, Mpira wa Yanga Mkubwa mno, wachezaji wanajituma na hawana mcheche. Ila hii Ahly ni nzito kusema ukweli. Labda kipindi cha pili tutaminimize damage.
Simba wana historia kule Misri Waarabu wakisikia jina tu Simba mikojo inawatoka lakini Yanga hata khofu hawana wanajua wanapeta kilaini kabisa.
SAHIBA.
Leta stastistics hapa!! Bila shaka utaanza kutuletea ile robo-fainali ya 1947!!
you mean handsome!?