Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

Ahly Athletic Club vs Dar Yanga Africam

Duh mnaangalia katika chanel Gani? Na mpaka sasa ni ngapi ngapi?
 
Hawa jamaa wapo fiti lakini mungu atasaidia tutarudisha tu
 
Wakuu, ni kweli mtanange unaonyweshwa
Tv2Free - Ahly tv

Mkuu share asante kwa hii link, ipo poa kabisa. Ninavyouona mchezo ulivyo, Yanga hawajazidiwa sana ila wanaonyesha woga fulani hivi yaani wakifika mita kama 40 - 30 karibu na goli la Waarabu wanashindwa kabisa kupass. time will tell lets wait.
 
goooooooooo, la pili. Jahazi la Yanga linazidi kuzama
 
yanga imeshapigwa 2
goli la kwanza dkk ya 1
na jingine sasa hivi
 
jamaa wanatufanyia kitu mbaya, wanaweza kutugeuza asusa kama tulivyowafanyia wacomorro
 
Duh kipa mzungu Kajitahidi Ila bao la pili Masikini yanga!!!!!
 
Hawa jamaa wanamiliki mipira kati halafu shambulizi la kushtukiza duuuuuuu
 
hayu kipa yanga wamemuokota wapi? mpira gani ule wa kupanchi, kipa wa kweli anadaka tu kikrosi kile, na huy nsajigwa sijui ndo nani hata kutoa pas hajui kafundishwa na nani mpira wa mitaani anaotuonyesha , well done Nadir Haroub................
 
Kipa kachezaq ile inaiitwa super Save duh!! Jamaa wanaujuwa mpira
 
Back
Top Bottom