Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Kati ya watu wasiona aibu kwenye hii nchi n Ahmed Ally msemaji wa Simba
Sio kwa kusikia angalien arise n shine taarifa ya habari anahojiwa anasema wanachama msiwe na shaka tumesikia fununu marudiano uwanja wa aman
Naomba msitoke mchexon maandalizi ya kwa mkapa yanaendelea kama kawaida tufocus tar 17
Aisee wewe baba baada ya kumaliziwa kuhojiwa tu ikawekwa website ya berkane wakiwajulisha mashabiki mechi itachezwa uwanja wa aman na si vinginevyo
Hapo ndio mjue TFF sio CAF
Mpambane na hali zenu
Hakuna mbuzi
Hakuna kurogana kule