Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
- Thread starter
- #21
Pole sana TFF Wana BARUA Toka tar 14 may na Simba wako COPPIED mkuu haoo wahuni WENU WA Simba wanataka helà zenu za tkt wanakuja hazirudiSimba ni timu kubwa sana lazima watacheza Benjamin Mkapa, bahati nzuri simba ina watu makini haikurupuki kama Yanga ambayo kila siku inashindwa kesi