vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 406
- 717
Namsikiliza kwenye radio free sahizi anasema Simba nafasi ya ubingwa tunayo timu iko imara, mashabiki waache kulalamika,huwezi kuwa mbovu wakati umefika robo fainali club bingwa, upo nafasi ya pili ligi kuu na una ngao ya jamii,, akaongeza kwamba mashabiki wanalishwa maneno ya uongo kwamba Mo hatoi hela hafai,wengine Magungu na Try again hawafai, wengine wachezaji hawafai,haiwezekani club nzima haifai.
Ahmed Ally atambue mashabiki wa Simba siyo wajinga,kama timu siyo mbovu na wanalea yai bovu ipo siku litakuja kulipuka mbeleni.
Kwasababu viongozi wa Simba hawakubali ukweli tusitegemee lolote,Timu inafungwa na mashujaa ni sawa,wapo pungu dk zote 57 unashindwa kumfunga.
Anachofanya Ahmed Ally mashabiki wa Simba waanze kushaingilia uwanjani Simba wakifungwa ili viongozi wapate somo.