Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

Mkuu wakati Yanga ikiwa ombaomba na Simba wana hela na wakachukua kombe back to back bado Yanga walikuwa wanawakabia shingoni kwa points finyu sana,hiyo hiyo Yanga ombaomba kila kombe walikuwa wanakutana na Simba,tofauti na sasa,unasema simba siyo mbovu ila ni mbovu mno kiasi kwamba hata kukutana FA na Yanga hawawezi kukutana
Unajua mashabiki wa Simba, wanachama na wadau wa michezo wanashindwa kutambua kwamba gape la ubora aliloset yanga ndio linaifanya Simba ionekana mbovu, pia ushindani wa ligi kwa sasa akuna timu ambayo inaingia uwanjani kinyonge Kama zamani, timu zinao udhamini wa Azam Kila timu inakunja kibunda mambo ya njaa Kama zamani ayapo kwamba utaihonga upate ushindi wa bwelele, kipindi Simba anabeba ubingwa back to back timu nyingi zilikuwa na Hali mbaya ikiwemo yanga, na Simba kipindi icho walikuwa na Mo akiwa bado wa moto anafanya usajili wa nguvu lakini yanga walikuwa wanatembeza bakuli ivyo Simba ikajitawala ipasavyo, Sasa hivi mambo mengi yamebadilika yanga Iko vizuri kwenye Kila eneo, na timu nyingi hazina njaa ivyo Simba anapata wakati mgumu sana kwenye mapambano ya uwanjani maana amekabwa Kila Kona apumui but Simba ni Ile Ile sidhani Kama ni mbovu kivile Kama inavyosema na wadau but standard ya ubora wa yanga unafanya Simba ionekane mbovu!
 
Acha aongee mnataka awalambe makwapa yenu kisa timu inapitia changamoto?
 
Back
Top Bottom