Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

Mkuu wakati Yanga ikiwa ombaomba na Simba wana hela na wakachukua kombe back to back bado Yanga walikuwa wanawakabia shingoni kwa points finyu sana,hiyo hiyo Yanga ombaomba kila kombe walikuwa wanakutana na Simba,tofauti na sasa,unasema simba siyo mbovu ila ni mbovu mno kiasi kwamba hata kukutana FA na Yanga hawawezi kukutana
 
Acha aongee mnataka awalambe makwapa yenu kisa timu inapitia changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…