Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
😆😆😆
Wewe hauendi Zambia?Kumbe alikua analia mkabembeleze sasa...
Siendi ndugu yangu nimekosa laki 2...Wewe hauendi Zambia?
Hahaha 😂Kumbe alikua analia mkabembeleze sasa...
Daaaah lete no ....nikuchangie mwanasimba mwenzangu[emoji23]Siendi ndugu yangu nimekosa laki 2...
Ww tuu umeshindwa kupanda kikosta cha buku 10 ndo utaweza laki 2??? 😀Daaaah lete no ....nikuchangie mwanasimba mwenzangu[emoji23]
Isingekua issue ya Hidden Id, ningekurushia ...tatizo number zina mengi.Siendi ndugu yangu nimekosa laki 2...
Usijali natania tuu mimi..napata wapi ruhusa ya kwenda Zambia?..kazi na familia namwachia nani..Isingekua issue ya Hidden Id, ningekurushia ...tatizo number zina mengi.
Ww wasema...hakuna watu wanaipenda timu yao kama Simba...Kuna namna wana Simba SC hawako motivated na hii timu that's my feelings any way
Ok, sawa ! Good dayUsijali natania tuu mimi..napata wapi ruhusa ya kwenda Zambia?..kazi na familia namwachia nani..
The same to you...Ok, sawa ! Good day
Kumbe alikua analia mkabembeleze sasa...
Kesho ipo mapema tuWw wasema...hakuna watu wanaipenda timu yao kama Simba...
Kwanza mara ya kwanza ilikua ni basi moja tuu walilopanga liende..then mashabiki wakaomba sanaa then management ikaona basi sawa liongezwe lingine...
Waanaathiiiimbaaaa.......
Wameikatia tamaaKuna namna wana Simba SC hawako motivated na hii timu that's my feelings any way