Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Sema sisi Wana Simba tunapitia kipindi kugumu sana [emoji23]Ww tuu umeshindwa kupanda kikosta cha buku 10 ndo utaweza laki 2??? [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema sisi Wana Simba tunapitia kipindi kugumu sana [emoji23]Ww tuu umeshindwa kupanda kikosta cha buku 10 ndo utaweza laki 2??? [emoji3]
Basi lilioenda ni moja tuu lile la ClubWw wasema...hakuna watu wanaipenda timu yao kama Simba...
Kwanza mara ya kwanza ilikua ni basi moja tuu walilopanga liende..then mashabiki wakaomba sanaa then management ikaona basi sawa liongezwe lingine...
Basi agiza bia uburudike nakuja kulipa...
Wanathiiiimbaaa 😂😂Alinifurahisha sana siku ile ya tamasha lao la simba day na kile kibwagizo chake cha 🗣️wana siiimba!!! 😁
Ukijumlisha na ile sauti yake!!! It was very interesting.
Ccm ni Chama imara mkuu.Haya ndo mambo watanzania tunaweza,wacha maccm yaendelee kutupiga.
wenzako wanashinda goli 10 mechi mbili, lazima niwe disappointed!
Siendi ndugu yangu nimekosa laki 2...
Sure tajiriiii....uko wapi mida hii tuje tupate japo maji ya kunywa tulowanishe koo...Sema tu washabiki na pro Simba wote ni choka mbaya sana. Ni hand 2 mouth earners. Cc gentamycine, okwi sunzu boban, nk
Yaani huyo mleta thread anaipenda Simba SC kupita maelezo 😂😂😂😂Kumbe alikua analia mkabembeleze sasa...
Ulifurahi hadi chini kukafunukaAlinifurahisha sana siku ile ya tamasha lao la simba day na kile kibwagizo chake cha [emoji2788]wana siiimba!!! [emoji16]
Ukijumlisha na ile sauti yake!!! It was very interesting.
Tatizo mnatuchanganya,Bocco anawezaje kuwa striker tegemezi?"Mashabiki wametuangusha sana,Kama uongozi tumesikitika sana kuona mashabiki wachache ndio wanaenda Zambia kuishangilia Simba"
AHMED ALLY,Afisa Habari Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa tuko Kigali jambo letu ni moja tu. Tukirudi nitafute, maji tu? AhaaaSure tajiriiii....uko wapi mida hii tuje tupate japo maji ya kunywa tulowanishe koo...
Alinifurahisha sana siku ile ya tamasha lao la simba day na kile kibwagizo chake cha 🗣️wana siiimba!!! 😁
Ukijumlisha na ile sauti yake!!! It was very interesting.
Kumbe ulifatilia na wewe, ukute ulikaa siti ya mbele kbs kibanda umiza na remote ukaishilkilia ww ili mtu asihamishe chanel.