Ahmed Ally alia na mashabiki wa Simba

Ahmed Ally alia na mashabiki wa Simba

Haya ndo mambo watanzania tunaweza,wacha maccm yaendelee kutupiga.
 
Yanga wenzao viongoz wote wanahsisha lln simba kaz kaachiwa Ahmed pekee, yanga akina injinia, mfikirwa, na watu maaruf km zahor n.k ndo wapo front line lkn simba akina mangungu na mo hawapatan
 
Sema tu washabiki na pro Simba wote ni choka mbaya sana. Ni hand 2 mouth earners. Cc gentamycine, okwi sunzu boban, nk
Sure tajiriiii....uko wapi mida hii tuje tupate japo maji ya kunywa tulowanishe koo...
 
Alinifurahisha sana siku ile ya tamasha lao la simba day na kile kibwagizo chake cha [emoji2788]wana siiimba!!! [emoji16]

Ukijumlisha na ile sauti yake!!! It was very interesting.
Ulifurahi hadi chini kukafunuka
 
Alinifurahisha sana siku ile ya tamasha lao la simba day na kile kibwagizo chake cha 🗣️wana siiimba!!! 😁



Ukijumlisha na ile sauti yake!!! It was very interesting.

Kumbe ulifatilia na wewe, ukute ulikaa siti ya mbele kbs kibanda umiza na remote ukaishilkilia ww ili mtu asihamishe chanel.

 
Back
Top Bottom