Ahmed Ally alia na mashabiki wa Simba

Ahmed Ally alia na mashabiki wa Simba

Je Ahmed ally kazi imemshinda kwenye kuhamasisha ?????

Kispika
1694776442674.jpg
 
Kuna namna wana Simba SC hawako motivated na hii timu that's my feelings any way
Ww wasema...hakuna watu wanaipenda timu yao kama Simba...
Kwanza mara ya kwanza ilikua ni basi moja tuu walilopanga liende..then mashabiki wakaomba sanaa then management ikaona basi sawa liongezwe lingine...
 
Kesho ipo mapema tu
 
Back
Top Bottom