Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu.

Kupitia ujumbe wake, Ahmed;

IMG_2920.jpeg


Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga

Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali akidai kuwa Simba SC imenufaika na makosa ya waamuzi mara kwa mara katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Kamwe alieleza:

IMG_2922.jpeg


Ilivyokuwa ratiba ya waamuzi wa Kati waliochezesha mechi za Yanga SC na Simba SC

IMG_2921.jpeg
 
Mwambie kuimba ni kupokezana. Yeye amesahau mechi yake na Kolo.Refa hajafanya makosa ya kibindamu.
Kama yupo huu ajue kama inamumaa achomoe tu.
 
Kumeanza kuchangamka!!
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom