Uyo ni comedy Mmoja mzuri sana alistahili kuwa kwa wenzake wa Cheka 2 na sio kwenye mpiraHuyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
SawaGundu ndo nini hizo Bil 2 unapata makombe mangapi ya ligi kuu na Crdb ?
HakikaAnalia na mengi...View attachment 3345668
HahahahaaaWanaenda kubeba la mo soap cup
Ana vikombe viwili Muungano na Ngao jamiiHuyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Ahaa navyo tunahesabu? OkAna vikombe viwili Muungano na Ngao jamii
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Bahati kwa kuwanyonga StillenBosch SC goli halali kabisa kule kwa Madiba?Msimlaumu sana timu ya simba Bado ipo kwenye matengenezo mpaka kufikia hapa ni bahati tu