Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

Ahmed Ally ana gundu? Simba hawajabeba kombe tangu ajiunge nao

Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Dhambi ya ubaguzi na vitisho alivyofanya yeye na mzee wake kabla ya match.
 
Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Mawazo ya kishirikina ndio kama haya. Mwisho utasema Mama Samia ana gundu, Simba na Yanga hazija beba ubingwa wa CAF toka awe rais na mifano mingine mingi ya namna hiyo ya kichawi.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3345967
Tatu Malogo FC.
 
Muungano mlilobeba mwezi uliopita si nasi mwaka jana tu jamani tulilibeba sisi japo kwa mechi 2...😄😄
 
Lakini anamedali ya Caf which worthy more kuliko kuchukua vikombe vyote unavyovijua wewe Tanzania.
 
Jaman mtu huyu ana mikosi pale Simba
 
Back
Top Bottom