Kuna shabiki yeyote ambaye ataambulia mgao wa hizo Bil 2? shabiki hufurahia mataji na sio pesaGundu ndo nini hizo Bil 2 unapata makombe mangapi ya ligi kuu na Crdb ?
Dhambi ya ubaguzi na vitisho alivyofanya yeye na mzee wake kabla ya match.Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Mawazo ya kishirikina ndio kama haya. Mwisho utasema Mama Samia ana gundu, Simba na Yanga hazija beba ubingwa wa CAF toka awe rais na mifano mingine mingi ya namna hiyo ya kichawi.Huyu bwana anaweza kuwa na mkosi. Anabwabwaja sana lkn timu yake haipati makombe ktk kipindi hiki. Watu wa Simba amkeni, pengine mmeingiliwa na migundu
Tatizo si pesa tatizo ni kombe.Gundu ndo nini hizo Bil 2 unapata makombe mangapi ya ligi kuu na Crdb ?
Tatizo si pesa tatizo ni kombe.
Makombe ndio heshma ya club. Mbona hata azama iko na pesa mingi kuliko hata simba na yangu
Mkiboronga mnakimbilia kusema mnajenga timuMsimlaumu sana timu ya simba Bado ipo kwenye matengenezo mpaka kufikia hapa ni bahati tu
Tatu Malogo FC.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3345967
Njaa mbaya sanaAnalia na mengi...View attachment 3345668