Ahmed Ally Atoa neno baada ya mechi na Namungo, asema wamekata tamaa

Kwa hiyo siku zote hizi alikuwa hajui kama Bingwa wa msimu huu ni Yanga, kwa mara nyingine tena! Au ni ubishi wake tu.
 
Sio mbaya tutajipanga msimu ujao, muhimu tutachukua ndoo ya Azam
 
Kwa hiyo siku zote hizi alikuwa hajui kama Bingwa wa msimu huu ni Yanga, kwa mara nyingine tena! Au ni ubishi wake tu.
Alitegemea miujiza.....ila alisahau kuwa Yanga akikaa pale juu
.
Kumshusha ni ngumu
 
Ni ngumu sana kumshusha maana sio kwa zile penati za nje ya box
Mkuu..... nadhani unaelewa kuwa timu iliyopata penalty. + Opponents kupata Red card zamchongo nyingi ni Simba
 
Huu uzi hata akina makolo, madunduka a.k.a wapenzi wa NGADA FC akina GENTAMYCINE, Kalpana, cocastic et el wasipouona, sisi tutawaonyesha tu uliko....!!!

CC Bantu Lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…