Ahmed Ally Atoa neno baada ya mechi na Namungo, asema wamekata tamaa

simba wamejimaliza wenyewe kupitia mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo. kabla ya game ya jana Yanga alikuwa na nafasi ya asilimi 85 na simba asilimia 60 ya kuchukua ubingwa. sioni Simba ikichukua taji lolote msimu huu
Mkuu wameshachukua makombe mawili tayari ujue,

La Robo Fainali

La Kufa Kiume
 
Hawa ndo wale wakiangalia tu ile match ya ngao wanakwambia fulani/ timu yake bingwa msimu huu.? Usikute
 
Hatuna hiaya Kalpana karibu JANGWANI, kwa wana nusu FAINALI hadi sasa. Sema amechelewa kidogo tu, jana tulikuwa na sherehe ya kuwacheka watu..!!
Kabisa mkuu.......hatakiwi kuwa kwenye timu yenye pressure daily
 
Hilo ni jukumu la Scouting
Sasa kama scouting imefanyika na ikaonekana katika wazawa, hao akina Kenedy ndio wana nafuu zaidi, huoni hapo utakuwa hauna hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…