Ahmed Ally Atoa neno baada ya mechi na Namungo, asema wamekata tamaa

Ahmed Ally Atoa neno baada ya mechi na Namungo, asema wamekata tamaa

simba wamejimaliza wenyewe kupitia mchezo wao wa jana dhidi ya Namungo. kabla ya game ya jana Yanga alikuwa na nafasi ya asilimi 85 na simba asilimia 60 ya kuchukua ubingwa. sioni Simba ikichukua taji lolote msimu huu
Mkuu wameshachukua makombe mawili tayari ujue,

La Robo Fainali

La Kufa Kiume
 
Watu makini huwa hawaishii kutoa maoni kama hayo tu, ulitakiwa uende mbali zaidi. Mfano, kwenye hiyo orodha ya unaotaka waachwe, kuna wazawa akina Nyoni, Bocco, Mkude, Kennedy na Mwenda. Ulitakiwa uweke na orodha ya wazawa unaotaka wazibe nafasi hizo, kutoka JKT, Prisons, Azam, Coastal Union, Yanga etc. Ukiishia kutaja tu kuacha ambako ni rahisi halafu ukakwepa kutafuta ambako nako ni kama betting, hujui mchezaji akija atakuwaje, huo sio uungwana
Hawa ndo wale wakiangalia tu ile match ya ngao wanakwambia fulani/ timu yake bingwa msimu huu.? Usikute
 
Hatuna hiaya Kalpana karibu JANGWANI, kwa wana nusu FAINALI hadi sasa. Sema amechelewa kidogo tu, jana tulikuwa na sherehe ya kuwacheka watu..!!
Kabisa mkuu.......hatakiwi kuwa kwenye timu yenye pressure daily
 
Back
Top Bottom