Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga kwa kuifananisha na Simba B.
Kauli hiyo inakuja baada ya saa chache watani zao, kukamilisha usajili wa mkopo wa miezi sita (6) wa beki Israel Patrick Mwenda akitokea Singida Big Stars na kukamilisha idadi ya nyota wanne ndani ya kikosi cha Yanga ambao waliwahi kuitumikia Simba SC.
Nyota hao ni: Jonas Mkude, Clatous Chama, Jean Baleke na Israel Mwenda
Mkuu ni kweli zile jezi za vitenge zilikuwa ni sare za maandilizi ya uzinduzi wa jina la wavikundi aka vicoba kwa kuishia hatua ya makundi? Au mtavuka mthibitishe si kweli?