Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116]

"Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA

Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi kufunga goli la Penati ya halali alitoa mapovu kulaumu Waamuzi yote ni kuaminisha watu kuwa tumemdhulumu na kutaka kutia dosari kazi nzuri inayofanywa na Simba Sports msimu huu

Nimeyasema haya ili Wana Simba tuone vita ni kubwa iliyombele yetu ni namna gani Wapinzani hawapendi kufungwa na sisi lakini wanafurahi kufungwa na wengine, ndio maana haishangazi kuona tunapata ushindi wa jasho na damu

Wale wanaosema tunashinda lakini tunashikilia roho sio kwa sababu tuu ya ubora ni kwa sababu wapinzani wanauma meno kupitiliza na sisi ndio tunapenda ushindani wa aina hiyo

Kuelekea mechi zijazo Wana Simba tunapaswa kuunganisha nguvu kweli kweli, tupambane kwa nguvu sawa kuhakikisha tunatimiza malengo yetu

Nguvu Moja

Ubaya Uboya"
1735207654523.jpg
 
Kelele zimeanza...hali huwa shwari ikiwa yanga hapati matokeo mazuri. Hivi kwa kikosi cha yanga , achilia mbali ubora wa timu zingine, kweli iwe ni swali kubwa juu ya ushindi wake mbele ya dom jiji? Inaweza kufungwa kama ilivyofungwa na azam, Tabora nk lkn sio kwamba ina ubovu wa kufungwa kila mechi.
 
Ndo hivyo mkuu.... tutashuhudia vilio vya kutosha
 
Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116]

"Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA

Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi kufunga goli la Penati ya halali alitoa mapovu kulaumu Waamuzi yote ni kuaminisha watu kuwa tumemdhulumu na kutaka kutia dosari kazi nzuri inayofanywa na Simba Sports msimu huu

Nimeyasema haya ili Wana Simba tuone vita ni kubwa iliyombele yetu ni namna gani Wapinzani hawapendi kufungwa na sisi lakini wanafurahi kufungwa na wengine, ndio maana haishangazi kuona tunapata ushindi wa jasho na damu

Wale wanaosema tunashinda lakini tunashikilia roho sio kwa sababu tuu ya ubora ni kwa sababu wapinzani wanauma meno kupitiliza na sisi ndio tunapenda ushindani wa aina hiyo

Kuelekea mechi zijazo Wana Simba tunapaswa kuunganisha nguvu kweli kweli, tupambane kwa nguvu sawa kuhakikisha tunatimiza malengo yetu

Nguvu Moja

Ubaya Uboya"View attachment 3185491
Hii ni mapema Sana Semaji.
 
Back
Top Bottom