Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

Ameandika Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ [emoji116]

"Dodoma Jiji jana kafungwa magoli mawili ya Uwongo, Moja la Offside na pili Penati ya uongo lakini Kocha wao hajalalamika kuonewa wala kudhulumiwa zaidi amesema AMESTAHILI KUFUNGWA

Rejea mechi ya Dodoma Jiji Vs Simba, baada ya sisi kufunga goli la Penati ya halali alitoa mapovu kulaumu Waamuzi yote ni kuaminisha watu kuwa tumemdhulumu na kutaka kutia dosari kazi nzuri inayofanywa na Simba Sports msimu huu

Nimeyasema haya ili Wana Simba tuone vita ni kubwa iliyombele yetu ni namna gani Wapinzani hawapendi kufungwa na sisi lakini wanafurahi kufungwa na wengine, ndio maana haishangazi kuona tunapata ushindi wa jasho na damu

Wale wanaosema tunashinda lakini tunashikilia roho sio kwa sababu tuu ya ubora ni kwa sababu wapinzani wanauma meno kupitiliza na sisi ndio tunapenda ushindani wa aina hiyo

Kuelekea mechi zijazo Wana Simba tunapaswa kuunganisha nguvu kweli kweli, tupambane kwa nguvu sawa kuhakikisha tunatimiza malengo yetu

Nguvu Moja

Ubaya Uboya"View attachment 3185491
Chizi huyo.
 
Huyo jamaq ni gay
 
Dodoma jiji wamefungwa unaona furaha kuanzia kwa kocha wao,viongozi, na wachezaji waol icha ya utata wa magoli mawili
Hii ni maajabu!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Dodoma jiji katoa zawadi ya xmas point na magoli 4 - tena alitaka walau yafike 8 ili wapunguze tofauti ya magoli na Simba walaona dili lisije kumbumbukuka.
Tangu GSM aichukue uto - wamekuwa watu wa ujanja ujanja na ndiyo maana makundi africa watamaliza na point 3. Kule Africa kupanga dili ni ngumu.
 
Mbna Yanga ilivyodroo hamkusema hayo
 
Back
Top Bottom