Ahmed Ally: Dodoma Jiji amefungwa magoli ya uongo na Yanga

Apeleke maoni pale tff Kuna sanduku la maoni kama alivyokaririwa akiulizwa na waandishi wa habari baada ya magoli ya mchongo waliyomfunga Azam kule Zanzibar na Ile penalty walizopewa na mwamuzi dhidi ya Dodoma jiji, kilio chake sisi atuna cha kumsaidia,,koki zimefunguliwa kidogo tu mavi yanaanza kugonga chupi,,wakati yanga anapoteza walikuwa wanapiga vijembe tu sasa imekuwaje!!
 
Hayo magoli mawili ya uongo tunayaondoa yanabaki mawili na makolo ondoeni goli mlilowafunga Dodoma Jiji muone mtabaki na mangapi?kocha wao anahaku akubali kipondo kwani hata akilalamika yapo magoli mengine ya hali anayoyakuli wewe kolo.
 
Mbona kama makolo wanaona sana wivu timu nyingine zinafungwa na Yanga, nadhani wanatamani wao tu ndio wafungwe na Yanga.

Ila sio kitu cha ajabu kwani uchungu wa mume anaujua mke
Ngoja tuwape mnara mwingine
 
Kabisa mkuu [emoji23][emoji23]
 
Hayo magoli mawili ya uongo tunayaondoa yanabaki mawili na makolo ondoeni goli mlilowafunga Dodoma Jiji muone mtabaki na mangapi?kocha wao anahaku akubali kipondo kwani hata akilalamika yapo magoli mengine ya hali anayoyakuli wewe kolo.
[emoji23][emoji23]
 
I wish ningekuwa rais wa TFF! Hakika ningefutilia mbali hivi vyeo vya kuimba taarab kwenye mpira wetu wa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…